Katibu wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Bw. Assaa Rashid (wa pili kulia), akitoa ufafanuzi
uhifadhi wa maoni ya maandishi yanawasilishwa na wananchi katika Tume
kwa wadau wa Taasisi za Habari nchini waliotembelea ofisi za Tume
leo (Januari 10, 2013). Taasisi zilizotembelea Tume ni Baraza la Habari
Tanzania (MCT), Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT), Chama
cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) na Jukwaa la Wahariri (TEF).
Mjumbe wa Sekretarieti ya
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Mohammed Khamis Hamad akitoa ufafanuzi
kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya wananchi kwa Ujumbe wa Taasisi za
Habari nchini uliotembelea ofisi za Tume leo (Januari 14, 2013).
Taasisi zilizotembelea Tume ni Baraza la Habari Tanzania (MCT), Chama
cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT), Chama cha Waandishi wa Habari
Wanawake (TAMWA) na Jukwaa la Wahariri (TEF).
Mjumbe
wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Hanifa Masaninga
akitoa ufafanuzi kuhusu uandaaji wa maoni ya wananchi na kuwa Kitengo
cha Taarifa Rasmi (Hansard) kwa ujumbe wa Taasisi za Habari nchini
waliotembelea ofisi za Tume leo (januari 10, 2013). Taasisi
zilizotembelea Tume ni Baraza la Habari Tanzania (MCT), Chama cha
Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT), Chama cha Waandishi wa Habari
Wanawake (TAMWA) na Jukwaa la Wahariri (TEF).
Picha na Tume ya Katiba.
No comments:
Post a Comment