Saturday, August 11, 2012

AJALI YA BASI LA SABENA - KITUNDA -TABORA



Maiti za abiria wa basi la Sabena

Basi la Kampuni ya Sabena baada ya kupata ajali









Friday, August 10, 2012

SENSA KWA MAENDELEO YA TAIFA

 IFIKAPO TAREHE 26 AUGUST, 2012 NI SIKU YA KUHESABU WATU NA MAKAZI KWA TAIFA ZIMA, HII NI KWAAJILI YA MAENDELEO YA WANANCHI NA TAIFA KWA UJUMLA. TAFADHALI TOA USHIRIKIANO KWA MAENDELEO YA TAIFA LAKO.