Basi lenye namba za usajili T329 AMD likiwa limesheni mizigo kuliko uwezo wake likielekea Itigi. Basi hilo lilikuwa likisafiri katika barabara ya Tabora-Itigi-Manyoni mwishoni mwa wiki iliyopita kama lilivyokutwa karibu na stesheni ya reli ya Kazi-Kazi. Picha na Irene Bwire
|