TUWASA WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUKAMATA WEZI WA MAJI
Baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Tabora Tuwasa wakiwa
katika oparesheni ya kuwasaka watu wanaodaiwa kuiba maji ambapo
walimkamata mkazi mmoja wa Kata ya Ipuli mtaa wa Nyerere anayefahamika
kwa jina la Faston Byaba ambaye alikutwa amejiunganishia huduma ya maji
kinyume cha sheria.
Mmoja
kati ya mafundi wa Tuwasa akiwa amemkabidhi kifaa cha kuunganishia
maji mama aliyekutwa amejiunganishia huduma hiyo ya maji.
No comments:
Post a Comment