Rais
Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ramani ya miundombinu ya maji mjini
Tabora kutoka kwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini
Tabora Tuwasa,wakati wa uzinduzi wa ujenzi mradi mkubwa wa maji wenye
thamani ya shilingi bilioni 7.5.
Waziri
wa maji Prof.Jumanne Maghembe akitoa maelezo kwa Rais JK wakati wa
uzinduzi wa mradi huo wa maji katika mitambo ya bwawa la Igombe mkoani
Tabora.
Mkurugenzi
wa mamlaka ya maji safi na majitaka mjini Tabora Tuwasa Injinia Mkama
Bwire akitiliana saini ya mkataba wa ujenzi mkubwa maji mbele ya Rais
Kikwete wakisimamiwa na Waziri wa maji Prof.Maghembe.
No comments:
Post a Comment