Mwili wa mtoto Mohammed Sila(1) aliyefariki katika dimbwi la maji huko maeneo ya Isevya manispaa ya Tabora.
Mama
mkubwa wa mtoto huyo Tatu Mmasi ambaye alipoteza fahamu baada ya kuona
maiti ya mtoto huyo katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya mkoa
wa Tabora Kitete.
No comments:
Post a Comment