Mgeni rasmi katika kampeni ya
Mradi wa Upandaji Miti jijini Mwanza, Henry Mongi, akipanda mti wakati
wa kampeni hiyo katika moja ya mitaa ya jiji hilo.Anayeshudia kulia ni
Afisa Ubora wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Caroline Muhonoli na wa
pili kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Mkuyuni, Fasheni Lugo. Mradi huo
umefadhiliwa na Kampuni ya Bia Tanzania.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Steven Kilindo, akifukia udongo kwenye
shimo alilopanda mti wakati wa kampeni ya upandaji miti jijini Mwanza
mwishoni mwa wiki..Wanaoshuhudia katikati ni Meneja Ubora wa kampuni
hiyo, Caroline Muhonoli na nyuma ya Kilindo ni Diwani wa Kata ya
Mkuyunim, Lugo Fashen.TBL imetumia zaidi ya milioni 30 kupanda miti 7000
katika mikoa ya Mwanza,Kilimanjaro na Mbeya. Kwa Mkoa wa Mwanza pekee
imetumia sh. mil. 10 kupanda miti 2600.
Meneja wa TBL Mwanza, Richmondx
Raymond akipanda mti katika uzinduzi wa mradi wa upandaji miti jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki, uliofanywa na kampuni hiyo kwa kupanda miti
2600 kando kando ya barabara za Balewa, Kenyatta, machemba na shule za
sekondari Nyamaganana na Nyegezi na Kiwanda cha Bia cha kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment