Meya wa Jiji la Dar es
Salaam,Mstahiki Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti jipya la
Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania
Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake
Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo
linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam,
Didas Massaburi (kushoto) akisoma gazeti jipya la Dar Metro
alilopelekewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts
Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini
kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo
linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji.Kampuni
hiyo huchapisha pia magazeti ya Jambo Leo, jarida la Jambo Brand
Tanzania na Staa Spoti.
Massaburi akilipitia vizuri
gazeti hilo litakalokuwa linaandikwa kwa lugha za Kiswahili na
Kiingereza.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.
No comments:
Post a Comment